kigae
1. Kipande cha chombo cha udongo kilichovunjika. 2. Kipande cha saruji au udongo cha kuezekea nyumba.
Vimepatikana vidahizo 1 vinavyoishia kwa silabi gae.
1. Kipande cha chombo cha udongo kilichovunjika. 2. Kipande cha saruji au udongo cha kuezekea nyumba.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.