afya
1. Hali ya mwili kuwa na uzima na siha njema. 2. Tamko ambalo watoto hutumia kupendekeza au kukubaliana kufanya jambo pamoja.
Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi fya.
1. Hali ya mwili kuwa na uzima na siha njema. 2. Tamko ambalo watoto hutumia kupendekeza au kukubaliana kufanya jambo pamoja.
1. Msumbue mtu kwa kumtia katika wasiwasi, msukosuko au hali ngumu. 2. Nyanyasa au mkandamize mtu kwa kumzidi nguvu.
Mtoko wa ghafla na wa nguvu wa hewa kupitia pua na mdomo unaotokana na mwasho wa njia ya pua.
Sauti fupi ya kitu kinachoachia au kupita kwa kasi.
Jiwe la kuegemezea sufuria katika moto wa kupikia.
Kitu chenye ulaini na kutokuwa kigumu.
Dawa inayoaminika na watumiaji kuwapa nguvu nyingi kama za simba.
Msababishe mtu aseme uongo.
Bonyezabonyeza kitu kwa vidole.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.