Vinjari kwa Silabi

Silabi: fuu

Vimepatikana vidahizo 7 vinavyoishia kwa silabi fuu.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 7

Vidahizo

7 kwenye ukurasa huu

fuu

1. Ganda gumu la mviringo lenye nafasi ya ndani. 2. Tunda jeusi linaloliwa la mfuu. 3. Kaa mdogo wa sehemu za pwani.

nafuu

1. Afadhali anayoipata mgonjwa hali yake inapopungua ukali. 2. Hali ya bei kutokuwa ghali.