Vinjari kwa Silabi

Silabi: fe

Vimepatikana vidahizo 12 vinavyoishia kwa silabi fe.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 12

Vidahizo

12 kwenye ukurasa huu

bufee

Mpangilio wa chakula ambamo vyakula mbalimbali huwekwa pamoja na watu hujichotea wanavyotaka.

fefefe

1. Hukazia ukamilifu wa jambo kama kuhama. Katika matumizi hayo, huonyesha kwamba hali ya awali haitarudiwa. 2. Hufuata kauli ili kusisitiza kwa...