dondoo
Tabia ya mahusiano mengi ya kingono inayokemewa kimaadili.
Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi doo.
Tabia ya mahusiano mengi ya kingono inayokemewa kimaadili.
Askari mwenye mafunzo maalumu ya mashambulizi katika maeneo magumu.
Mnyama wa kufugwa mwenye manyoya mengi anayefanana na mbuzi.
1. Bunduki ya zamani iliyotumia baruti ya aina ya fataki. 2. Mti wenye mbao za kutengenezea vyombo vya uvuvi kama madau. 3. Ndoo inayotumiwa kama...
Mtoto wa kondoo.
Kifaa cha kuvaa kidoleni ili sindano isikidunge wakati wa kushona.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.