bandia
1. Iliyotengenezwa kwa kughushi ili ionekane halisi. 2. Isiyo ya kweli au ya asili; ya kutengenezwa.
Vimepatikana vidahizo 22 vinavyoishia kwa silabi dia.
1. Iliyotengenezwa kwa kughushi ili ionekane halisi. 2. Isiyo ya kweli au ya asili; ya kutengenezwa.
Shughuli na mipangilio inayohusu maisha na usimamizi wa mji.
Mwanamichezo anayeshiriki mchezo wa ndondi.
Ofisa wa jeshi mwenye cheo kilicho juu ya kanali na chini ya meja jenerali.
Ingia katika chombo cha usafiri bila ruhusa au tiketi.
1. Zama chini kwa kubonyea; titia. 2. Inama na kuinuka kwa kufuata ngoma.
Jaza hewa ndani ya kitu.
Kitabu au mkusanyiko wa vitabu vya ufafanuzi wa mada mbalimbali.
1. Malipo ya kufidia hasara iliyosababishwa. 2. Lipa kwa hasara uliyosababisha.
Tia kitu kingi ndani ya kinywa.
Tafutia malaya wateja.
Mfuko wa kuweka silaha.
Jipatie manufaa kutokana na jambo.
Bila kusimama kati ya tendo na tendo.
Weka nia ya kutenda jambo.
Mpatanishie mtu mwingine mwenzi wa mapenzi.
Mkeka wa kufunika maiti aliyevishwa sanda.
Fanya jambo ambalo umekwisha kulifanya tena.
Mpe mtu msaada katika hitaji au shughuli yake.
1. Mwabudu Mungu kwa kuweka paji la uso chini. 2. Heshimu mtu au kitu kupita kiasi.
Patwa na maumivu ndani ya kiungo baada ya kuumia.
Kutimia kwa muda au jambo.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.