Vinjari kwa Silabi

Silabi: bwi

Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi bwi.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 9

Vidahizo

9 kwenye ukurasa huu

bwimbwi

1. Unga wa bisi uliochanganywa na asali au sukari kuwa chakula kitamu kizito. 2. Chakula cha unga wa mchele uliotayarishwa na kutiwa sukari, nazi ...

chubwi

1. Kipande kizito kinachofungwa kwenye mshipi wa uvuvi ili uzame. 2. Mlio wa kitu kinapotumbukia majini.

kizimbwi

1. Mahali pa kuegeshea vyombo vya majini au kutia nanga. 2. Sehemu ya mwamba iliyozama kando ya bahari au ziwa.

lumbwi

1. Kinyonga mwenye uwezo wa kubadili rangi ya mwili. 2. Mtu anayebadili msimamo kulingana na manufaa anayoyaona.