abra
Nafasi au muda wa kufanya jambo, hasa katika ushairi.
Vimepatikana vidahizo 5 vinavyoishia kwa silabi bra.
Nafasi au muda wa kufanya jambo, hasa katika ushairi.
Tawi la hisabati linalotumia alama na herufi kuwakilisha namba na kuonyesha uhusiano wake.
Chumba kidogo kilichojengwa ndani ya meli.
Mlango wenye ngazi za kuelekea ndani ya sehemu ya chini ya chombo cha majini.
1. Tukio la nadra linaloleta mshangao. 2. Doa au alama ya rangi katika kitu. 3. Kifaa cha jometri cha kuchora duara.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.