Vinjari kwa Silabi

Silabi: bii

Vimepatikana vidahizo 2 vinavyoishia kwa silabi bii.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 2

Vidahizo

2 kwenye ukurasa huu

arubii

1. Hali ya kutenda jambo kwa haraka au bila kukawia. 2. Yenye mwendo wa kasi au ya kufanywa chapuchapu.