kibao
Pigo la kiganja usoni.
Vimepatikana vidahizo 7 vinavyoishia kwa silabi bao.
Pigo la kiganja usoni.
Hali ya kuzubaa na kutokuwa makini.
Hali au tendo la kusogea kwa kutambaa.
Ukanda wa nchi unaopakana na bahari.
Hali ya kupumbazika au kulegea kwa utambuzi.
Hali ya mshangao au kiwewe inayomwacha mtu hana la kusema.
1. Kipande cha gogo kilichopasuliwa kwa kutengenezea vifaa. 2. Sehemu pana ya kuandikia kwa chaki katika kufundisha. 3. Kiti kirefu cha mbao cha ...
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.