kikao
1. Mkutano wa kujadili jambo. 2. Mahali palipotengwa kwa kukaa.
Vimepatikana vidahizo 4 vinavyoishia kwa silabi ao.
1. Mkutano wa kujadili jambo. 2. Mahali palipotengwa kwa kukaa.
Mwangaza unaotoka au kuakisiwa na kitu.
1. Kifaa bapa cha kushikwa kujikinga na silaha zinazopigwa au kurushwa. 2. Kitu au jambo linalotoa kinga. 3. Upande wa mbele au wa nyuma wa nyumba.
Kinachohusiana na watu wanaozungumziwa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.