Maana 1
Hali ya kuwa mtulivu sana au kutenda mambo bila papara wala pupa.
Mfano wa matumizi: Alifanya kazi yake kwa zoloto hadi akaikamilisha vizuri.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.