1. Sayari ya sita kutoka Jua yenye pete zinazoonekana wazi.
Nomino2. Uzito wa kuanza au kutekeleza jambo.
Nomino1. Saturn; the sixth planet from the Sun, distinguished by its prominent rings.
Nomino2. Sluggishness; slow or reluctant progress in doing something.
Nomino1. Saturne; sixième planète à partir du Soleil, reconnaissable à ses anneaux marqués.
Nomino2. Lenteur ou inertie; progression lente ou réticente dans une activité.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Tanbihi
Maana mbili zimeunganishwa chini ya kidahizo kimoja ili kuepuka urudufu wakati wa kuingiza CSV. Upatanisho wa umoja I unahusu maana zote. Chanzo kina [i-/zi-] na /Kar/ kwa maana ya sayari, na [i-] kwa maana ya ajizi; tofauti hizi zimehifadhiwa katika fasili_rejea za kila maana. Idadi ya miezi kumi katika chanzo haijatumiwa kama taarifa sahihi ya sasa.