zinduka

0

1. Kupata utambuzi baada ya kutofahamu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Jamii ilizinduka baada ya mafunzo.

2. Kuamka ghafla kutoka usingizini.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alizinduka aliposikia kelele.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →