ziara

0

1. Safari ya kutembelea mahali kwa kusudi maalumu.

Nomino
Mfano wa matumizi Walimu walifanya ziara ya shule.

2. Safari ya kutembelea sehemu yenye umuhimu wa kidini.

Nomino
Mfano wa matumizi Walifanya ziara kwenye sehemu ya ibada.

3. Kaburi la mtu anayeheshimiwa katika dini.

Nomino
Mfano wa matumizi Wageni walifika kwenye ziara hiyo.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →

Tanbihi

Chanzo kinaweka asili tofauti: maana 1: Kiarabu; maana 2: ; maana 3: .