Maana 1
Hali ya kuwa na imani kamili au thabiti juu ya jambo bila kuwa na shaka.
Mfano wa matumizi: Ana uhakika kwamba mtihani ataufanya vizuri.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.