Tishu ya mmea inayopitisha maji na madini.
Nomino
Mfano wa matumizi
Maji hupita katika zailemu.
Xylem; plant tissue transporting water and dissolved minerals and providing support.
Nomino
Example
Water passes through the xylem.
Xylème; tissu végétal transportant l’eau et les sels minéraux et contribuant au soutien.
Nomino
Exemple
L’eau circule dans le xylème.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Tanbihi
Imesahihishwa kuwa tishu ya kupitisha maji na madini; usafirishaji wa sukari huhusishwa na floemu.