1. Kiwakilishi cha kuulizia vitu vya ngeli ya YA.
Kivumishi
Mfano wa matumizi
Kati ya magodoro haya, yapi ni mapya?
2. Kivumishi cha kuulizia vitu vya ngeli ya YA.
Kivumishi
Mfano wa matumizi
Magari yapi yataondoka kwanza?
1. Which ones; an interrogative pronoun for YA-class plurals.
Kivumishi
Example
Which of these mattresses are new?
2. Which; an interrogative adjective used with YA-class plural nouns.
Kivumishi
Example
Which cars will leave first?
1. Lesquelles; pronom interrogatif pour le pluriel de la classe YA.
Kivumishi
Exemple
Parmi ces matelas, lesquels sont neufs ?
2. Quel ou quelle au pluriel; déterminant interrogatif de la classe YA.
Kivumishi
Exemple
Quelles voitures partiront en premier ?
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi