Wavuti Wa Walimwengu (WWW)

0

Mtandao wa kimataifa wa kurasa zilizounganishwa kwa viungo.

Nomino
Mfano wa matumizi Wavuti Wa Walimwengu hurahisisha kupata taarifa.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →

Tanbihi

Fasili ya chanzo iliyochanganya WWW na kituo kidogo cha intaneti imesahihishwa.