wafiki

0

1. Kukubali au kuridhia jambo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Wajumbe waliwafiki mpango.

2. Kufaa kulingana na inavyotakiwa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Jibu lake liliwafiki swali.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →

Tanbihi

Uelekezi hutofautiana kwa maana: 1: elekezi; 2: sielekezi.