VVU

0

Virusi vinavyoshambulia mfumo wa kinga ya binadamu.

Nomino
Mfano wa matumizi Somo lilieleza tofauti ya VVU na UKIMWI.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →

Tanbihi

Kifupisho kinasimamia virusi; upatanisho umewekwa VI badala ya A–WA ya chanzo.