1. Kupasua kitu kigumu kiwe vipande.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Usivunje kikombe.
2. Kukiuka sheria au makubaliano.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Hawakutaka kuvunja mkataba.
1. Break; split a hard object into separate pieces.
Kitenzi
Example
Do not break the cup.
2. Violate; act contrary to a rule or agreement.
Kitenzi
Example
They did not want to breach the contract.
1. Briser; séparer un objet dur en morceaux.
Kitenzi
Exemple
Ne casse pas la tasse.
2. Enfreindre; agir contrairement à une règle ou à un accord.
Kitenzi
Exemple
Ils ne voulaient pas enfreindre le contrat.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi