Nywele nyingi zilizotibuka bila kuchanwa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Alitengeneza vunge lake kwa kichana.
Tangled hair; a mass of uncombed, disordered hair.
Nomino
Example
She arranged her tangled hair with a comb.
Chevelure emmêlée; masse de cheveux non peignés et désordonnés.
Nomino
Exemple
Elle a démêlé sa chevelure avec un peigne.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi