vivi hivi

0

1. Kwa namna ileile ilivyofanywa.

Kielezi
Mfano wa matumizi Fanya kazi vivi hivi.

2. Katika hali yake bila kubadilishwa.

Kielezi
Mfano wa matumizi Acha mpangilio vivi hivi.

3. Bila kuwa na kitu.

Kielezi
Mfano wa matumizi Alifika vivi hivi bila zawadi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →