1. Sehemu iliyo nyuma ya nyumba.
Nomino
Mfano wa matumizi
Walipanda mboga uwani.
2. Mahali pa kujisaidia.
Nomino
Mfano wa matumizi
Alielekezwa uwani.
1. Backyard; the area behind a house.
Nomino
Example
They planted vegetables in the backyard.
2. Toilet area; a place used for bodily relief.
Nomino
Example
He was directed to the toilet area.
1. Arrière-cour; espace situé derrière une maison.
Nomino
Exemple
Ils ont planté des légumes dans l’arrière-cour.
2. Lieu d’aisance; endroit destiné aux besoins naturels.
Nomino
Exemple
On lui a indiqué le lieu d’aisance.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi