uwanda

0

1. Eneo la wazi lisilo na nyumba au miti mikubwa.

Nomino
Mfano wa matumizi Walipita katika uwanda mkubwa.

2. Sehemu ya ardhi iliyo tambarare.

Nomino
Mfano wa matumizi Uwanda ulifaa kwa kilimo.

3. Mahali pa kukusanyia taarifa za utafiti moja kwa moja.

Nomino
Mfano wa matumizi Watafiti walikusanya taarifa uwandani.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →