1. Tendo la kukarabati kilichoharibika.
Nomino
Mfano wa matumizi
Utengenezaji wa baiskeli ulikamilika.
2. Tendo la kuunda kitu.
Nomino
Mfano wa matumizi
Utengenezaji wa viti unaendelea.
1. Repair; restoring a damaged object to working condition.
Nomino
Example
The bicycle repair was completed.
2. Manufacture; making an object from materials or components.
Nomino
Example
Chair manufacturing is continuing.
1. Réparation; remise en état d’un objet endommagé.
Nomino
Exemple
La réparation du vélo a été achevée.
2. Fabrication; création d’un objet à partir de matériaux.
Nomino
Exemple
La fabrication des chaises se poursuit.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi