utendekaji

Hali au namna jambo linavyotendeka au kufanyika.

Utendekaji ni jinsi au kiwango ambacho tendo linafanyika.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
utekelezaji

Asili ya neno

kitenzi -tendeka