1. Huzuni baada ya kukumbwa na tatizo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Usononi ulimfanya anyamaze.
2. Kukerwa na mtu au jambo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Usononi wake ulionekana usoni.
1. Sorrow; sadness following a troubling event.
Nomino
Example
Sorrow made him fall silent.
2. Vexation; anger or distress caused by someone or something.
Nomino
Example
His vexation showed on his face.
1. Chagrin; tristesse après un événement pénible.
Nomino
Exemple
Le chagrin le fit taire.
2. Contrariété; colère ou peine provoquée par une personne ou une chose.
Nomino
Exemple
Sa contrariété se lisait sur son visage.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi