ushoga

Hali au tendo la mtu kuvutiwa kimapenzi au kimwili na mtu mwingine wa jinsia moja, hasa wanaume kwa wanaume.

Ushoga ni hali ya mtu kuwa na hisia au mahusiano ya kimapenzi na mtu wa jinsia moja.

Maana

2 jumla

Vinyume

1 jumla
ushetani

Asili ya neno

Shoga

Tanbihi

Neno hili mara nyingi hutumika kumaanisha mahusiano ya kimapenzi kati ya wanaume, lakini linaweza pia kutumika kwa ujumla kuhusu mvuto wa kimapenzi kwa jinsia moja.