uporo

Chakula kilichosalia baada ya watu kula; mabaki ya chakula mezani au kwenye chombo baada ya mlo.

Mabaki ya chakula baada ya watu kula.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
mabaki