upinde

Kifaa kilichotengenezwa kwa mti au chuma, chenye umbo la nusu duara, hutumika kupigia mishale au kama pambo.

Kifaa chenye umbo la nusu duara au kitu chochote chenye umbo la kupinda.

Maana

3 jumla

Visawe

1 jumla
bendi

Asili ya neno

Kiswahili