upepezi

Kitendo cha kuondoa uchafu kama maganda au makapi kutoka kwenye nafaka kwa kutumia upepo au kwa kuyapepea.

Upepezi ni tendo la kutenganisha nafaka na uchafu kwa kutumia upepo.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

pepe (v)