unywele

Uzi mmoja mmoja wa nywele zinazoota kichwani mwa binadamu au mnyama.

Uzi mmoja wa nywele za kichwani au sehemu nyingine za mwili wa binadamu au mnyama.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
nywele

Asili ya neno

Kiswahili