Maana 1
Mfumo wa kijamii na kiuchumi ambapo mtu mmoja au tabaka dogo lina miliki na mamlaka juu ya ardhi na watu wanaoishi au kufanya kazi humo, na mara nyingi watu hao hulazimika kutoa sehemu ya mazao au kazi zao kwa mwenye ardhi.
Mfano wa matumizi: Unyarubanja ulitawala katika baadhi ya maeneo ya Afrika Mashariki kabla ya ukoloni.