Maana 1
Kilicho timilika au kutosheleza kikamilifu bila upungufu wala ziada.
Mfano wa matumizi: Alifanya kazi kamili bila kuacha chochote.
Kiarabu: كامل (kāmil)
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.