umoja

0

1. Mshikamano wa watu wanaoshirikiana.

Nomino
Mfano wa matumizi Umoja wao uliwasaidia kufanikiwa.

2. Hali ya kitu kuwa kimoja.

Nomino
Mfano wa matumizi Neno mtoto liko katika umoja.

3. Imani ya Kiislamu ya Mungu mmoja.

Nomino
Mfano wa matumizi Walijifunza umoja wa Mungu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →