umio

Sehemu ya mwili wa binadamu au mnyama mwenye uti wa mgongo inayopitisha chakula kutoka mdomoni hadi tumboni; koo la chakula.

Umio ni mrija wa mwili unaopitisha chakula kutoka mdomoni hadi tumboni.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili sanifu