Biashara ya kutembeza bidhaa mitaani ili kuwafikia wanunuzi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Umachinga ulimpatia riziki.
Street hawking; selling goods while moving through the streets.
Nomino
Example
Street hawking provided him with a livelihood.
Vente ambulante; commerce de marchandises en se déplaçant dans les rues.
Nomino
Exemple
La vente ambulante lui procurait un moyen de subsistance.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi