ukunguu

0

Mmea wa porini unaotambaa na kupanda juu ya mimea mingine, wenye majani yanayofanana na ya kiazi kitamu.

Nomino
Mfano wa matumizi Ukunguu ulikuwa umetanda juu ya vichaka.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →