1. Homa inayompata mtu mmoja katika mazingira ambayo wengine hawaumwi homa hiyo.
Nomino2. Umaskini unaotokana na sababu maalumu inayodhoofisha maisha ya mtu, kama vile matumizi mabaya ya fedha katika ulevi.
Nomino1. Isolated fever; a fever affecting one person while others remain unaffected.
Nomino2. Self-induced poverty; poverty attributed to a particular harmful habit or circumstance.
Nomino1. Fièvre isolée; fièvre touchant une personne tandis que les autres restent indemnes.
Nomino2. Pauvreté liée à une cause particulière; dénuement attribué à une habitude ou circonstance néfaste.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Tanbihi
Thibitisha usomaji au matumizi maalumu ya kidahizo na maana dhidi ya chanzo; tafsiri haithibitishi istilahi ya kitaalamu.