ukunga

Shughuli au kazi ya kumsaidia mama wakati wa kujifungua mtoto.

Ukunga ni huduma au shughuli ya kumsaidia mama wakati wa kujifungua.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili