Maana 1
Mahali anapoishi mjomba au anakofanyia shughuli zake.
Mfano wa matumizi: Watoto walikwenda ujombani wakati wa likizo.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.