Maana 1
Hali ya kukosa ujuzi, maarifa, au elimu kuhusu jambo fulani.
Mfano wa matumizi: Ujinga ni adui wa maendeleo katika jamii.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.