mfuko

0

1. Chombo laini cha kuwekea na kubebea vitu.

Nomino
Mfano wa matumizi Nyirabagenzi aliweka vitabu katika mfuko.

2. Sehemu ya vazi iliyoshonwa kuweka vitu vidogo.

Nomino
Mfano wa matumizi Aliweka ufunguo katika mfuko wa koti.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →