Kumruhusu mtu afanye kila anavyotaka.
Nomino
Mfano wa matumizi
Uendekezaji wa tabia hiyo ulifanya tatizo likue.
Indulgence; allowing someone to act as they please.
Nomino
Example
Indulging that behaviour made the problem grow.
Complaisance; fait de laisser quelqu’un agir à sa guise.
Nomino
Exemple
La complaisance envers ce comportement aggrava le problème.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi