Unukuzi wa maneno au maandishi ya mwingine.
Nomino
Mfano wa matumizi
Udonozi wa beti uliambatana na jina la mshairi.
Quotation; reproduction of another person’s words.
Nomino
Example
The quotation of the verses included the poet’s name.
Citation; reprise des paroles ou du texte d’autrui.
Nomino
Exemple
La citation des vers était accompagnée du nom du poète.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi