Utenganishaji wa vitu kulingana na kufaa kwake.
Nomino
Mfano wa matumizi
Uchambuzi wa mbegu ulifanywa kabla ya kupanda.
Sorting; separating suitable items from unsuitable ones.
Nomino
Example
The seeds were sorted before planting.
Tri; séparation des éléments utiles et inutiles.
Nomino
Exemple
Le tri des semences fut effectué avant les semailles.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi