uchaga

0

1. Kichanja cha kuhifadhia au kuanikia vitu.

Nomino
Mfano wa matumizi Samaki wamewekwa kwenye uchaga.

2. Papi zinazobeba godoro katika kitanda.

Nomino
Mfano wa matumizi Fundi amerekebisha uchaga wa kitanda.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →