Hadhi inayompa mtu nafasi ya kuongoza.
Nomino
Mfano wa matumizi
Uandamizi wake umetambuliwa kazini.
Seniority; a standing that carries leadership status.
Nomino
Example
Her seniority has been recognised at work.
Ancienneté hiérarchique; rang permettant d’exercer une direction.
Nomino
Exemple
Son rang supérieur a été reconnu au travail.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi